BurudaniHabari

Marioo aachia Cover rasmi ya Deluxe Edition ya ngoma nne

Marioo ameitambulisha Cover ya Track list ya ngoma zake nne kwenye DELUXE EDITION ya album yake ya THE KID YOU KNOW ambayo ilikuwa na ngoma 17, ngoma hizo ambazo alitangaza kuzitambulisha rasmi tarehe 12/05 ijumaa hii pale Werehouse Masaki.

Marioo kupitia Innstagrma yake ameandika kuwa “I’m here to present to you the official Artwork & track list of the #tkykdeluxeedition 🔥🔥 Unadhani ipi ndo itakuwa ngoma yako pendwa!!?🙌🔥

Ikumbukwe kuwa Marioo aliachia album yake ya kwanza miezi kadhaa iliyopita nyuma na album hiyo ilikuwa na ngoma 17 ambazo zote zinaendelea kufanya vizuri.

Katika album hiyo ya THE KID YOU KNOW ilikuwa na wasanii wengi sana akiwemo Alikiba, Harmonize, Rayvanny na wengine.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents