Bongo5 ExclusivesBurudani
Marioo akimbiza AudioMack
Staa wa muziki wa Bongo Fleva @marioo_tz anazidi kupasua anga kwenye upande wa Number na hii ni baada ya kufikisha Streams milioni 80 kwenye mtandao wa Audimack.
@marioo_tz ameshika nafasi ya tatu chini ya @diamondplatnumz akiwa nafasi ya kwanza na Streams milioni 149,733,706 huku nafasi ya pili akiwa @harmonize_tz na Streams milioni 108,991,390.