Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Marioo alikosa tuzo ya msanii bora wa Bongo Fleva TMA kisa nyimbo za Amapiano – Baba levo

Baba levo alikuwa miongoni mwa Majaji kwenye tuzo zilizofanyika siku za hivi karibuni za TMA.

Hapa aliulizwa swali na wana habari kuhusu baadhi ya wasanii wanaofanya vizuri kwa sasa nchini na walikosa Tuzo mmoja wao ni @marioo_tz

@officialbabalevo ametaja moja ya sababu kuwa ni nyimbo za Amapiano za @marioo_tz kwenye kipengele cha nyimbo bora ya Bongo Fleva.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents