Burudani

Marioo amekuwa Cheap kama Rayvanny!!

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amemzungumzia tena Marioo baada ya kupewa Collabo nyingine.

Anasema Marioo asipokuwa makini kwa namna anavyogawa Collabo kama Njugu atakuwa Cheap na atazoeleka mapema sana kwenye masikio ya Mashabiki.

Anasema kwa sasa karibia kila wiki kuna wimbo mpya Marioo anashirikishwa, kwa wasanii wengine inawasaidia ila kwa upande wake inamfanya azoeleke mapema.

Uchambuzi mzima link hii hapa chini

Imeandikwa na Bryan Hillary

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents