Burudani

Marioo atangaza viingilio kila shabiki wake apate nafasi ya kuangalia historia

 

Hit maker wa Bia Tamu na nyimbo nyingine nyingi @marioo_tz ametangaza viingilio vya show yake ya The Kid You Know ambayo itafanyika Mlimani City tarehe 28, January 2023.

Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anatajwa kufanya vizuri zaidi nchini Tanzania, ametangaza kiingilio kidogo cha tsh 30000 tofauti watu wangi walivyokuwa wakitarajia kwamba viingilio vitakuwa vikubwa kutokana na ukubwa wake.

Bongo5 imezungumza na mmoja wa viongozi wake ambapo wamesema show hiyo kubwa ni kwaajili ya mashabiki wake na hajaiangalia kibiashara zaidi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents