FahamuHabari

Marioo atoa kauli baada ya Chino na wenzake kupata ajali Tanga

Katika hali nyingine yenye huzuni msanii @marioo_tz ameongea na mashabiki zake kwenye Tamasha la Acces kwa kuwaomba radhi kufuatia kuchelewa kutumbuiza kwenye show hiyo ambapo katika hilo alitoa sababu za kuchelewa kutokana na matatizo yalimpata msanii wake @chino_kidd7 alilazimika kwenda Tanga kumuona msanii huyo aliyepata ajali jana.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents