Burudani
Marioo atoboa siri kolabo yake na Diamondplatnumz

Katika mazungumzo na waandishi wa habari @marioo_tz ameweka wazi kuhusu kolabo yake na msanii @diamondplatnumz kwamba ikifika muda sahihi wa ngoma ya Diamond akiwa na yeye itatoka na itakuwa ya kitofauti
Video Nzima ipo katika Akaunti yetu ya Youtube ya Bongo5
Written and edited by #abbrah255