BurudaniHabari

Marioo awatahadharia wenye lebo Alikiba na Diamond, atambulisha msanii (Video)

Mpaka sasa wasanii A-List Tanzania wote wanamiliki lebo zao za muziki kwenye kiwanda cha Bongo Fleva.

1. Diamond ana lebo yake ya WCB
2. Alikiba ana lebo yake ya Kings Music.
3. Rayvanny ana lebo yake ya Next Level
4. Harmonize ana lebo yake ya Konde Gang
5. Nandy ana lebo yake ya The African Princes
6. Marioo ana lebo yake ya Bad Nation.

Katika lebo zote hizi zina wasanii wake, WCB ina wasanii watano, Kings Music wasanii wataono, Next Level wasanii wawili, Konde Gang wasanii wawili, The Afrika Princes wasanii wawili na sasa Bad Nation ina wasanii wawili.

@marioo_tz naye kwa sasa ni CEO wa lebo yake ya Bad Nation ambayo ona msanii mpya. Unahisi ushindani utaongezeka kwenye game la Bongo Fleva au wasanii wanafungua lebo kwa sifa??

Tembelea akaunti yetu ya Bongofive kushubudia Updates kibao za Kiburudani na zinginezo nyingi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents