Burudani
MARIOO NA CHINO WAUMALIZA UGOMVI WAO NA KUIMBA PAMOJA (Video)

MARIOO NA CHINO WAUMALIZA UGOMVI WAO NA KUIMBA PAMOJA
Hatimaye Msanii@marioo_tz na @chino_kidd7 wamaliza tofauti zao Waimba wimbo wa #Bongomanremix Kwa pamoja Usiku wa Show ya Album ya #TheGodSon.
Full video tumekuwekea kwenye YouTube channel yetu ya Bongo5