Burudani

Marioo na Paula waja na Surprise

Staa wa Muziki wa Bongo-Fleva Marioo amemaliza utata na tetesi juu ya ujauzito wa mpenzi wake Paula Kajala baada ya kuchapisha Video fupi kwenye ukurasa wake akisema “Adding a new member to our squad soon Inshallah! Proud of you Malkia Paula Kajala Mungu akubariki wewe na Familia Hakunamatata”- Marioo.

Mama wa Paula Kajala Frida akaweka comment na kuandika “Mkweee”.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents