Martin Kadinda mtu ambaye amekuwa meneja wa @wemasepetu kwa muda mrefu ameeleza sababu ya kutohudhuria baadhi ya matukio ya @wemasepetu na @whozu_ hasa birthday parties.
@martinkadindaofficial ameleeza kuwa yeye anachojua @wemasepetu na @whozu_ wanapendana na anawatakia kila la kheri.
@martinkadindaofficial anashangaa kuhusu @wemasepetu kuwahi kuwa kwenye mahusiano na @diamondplatnumz 🤔🤔