Afya

Masanja Mkandamizaji aendelea na zoezi la ugawaji vifaa vya kujikinga na Corona (+ V ideo)

Leo @mkandamizajii alikuwa Mbagala katika kutoa misaada kwa akina mama ntilie hasa vifaa vya kujikinga na CORONA kama Sanitizer, Barakoa, Ndoo za kunawia maji kwa kuungana na mabalozi wake ambao ni @officialshilole @goodluckgozbert na @unclejimmytz maeneo ya Mbagala kituo cha daladala.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents