Michezo

Mashabiki wa Simba Afrika Kusini watangaza Vita

🚨Mashabiki wa Simba SC na watanzania kiujumla wanaoishi nchini Afrika ya Kusini wameanza kuhamasishana kwa ajili ya kwenda kuipa support klabu ya Simba SC kwenye mchezo wa marudiano dhidi ya Stellenbosch FC utaopigwa dimba la Moses Mabhida tareh 27 saa 10 jioni michuano ya CAFCC

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents