Bongo5 ExclusivesHabariMahojianoMichezo

Mashabiki wa Simba walalamika kutakiwa kununua jezi moja tu, hii sio sawa waweke utaratibu sawa

Siku ya leo klabu ya Simba umetambulisha jezi zake na mashabiki wa klabu hiyo wamekuwa na mwitikio mkubwa juu ya kununua jezi za klabu yao.

Wakiwa wamefurika nje ya duka la Vunja Bei wakiwa kwenye foleni imeonyesha namna gani mashabiki wa klabu hiyo walikuwa wanazisubiria jezi kwa hamu kubwa.

Wakiongea na Bongofive wameeleza namna walivyokuwa wanazisubiria jezi hizo kwa hamu kubwa lakini pia wakilalamika kuhusu kutakiwa kununua jezi moja tu.

Simba imetambulisha jezi zao leo tarehe 7/8/2022 siku moja kabla ya siku yao kubwa ya Simba day na huenda ndio imechangia mashabiki kufurika wengi.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents