Michezo
Mashabiki wa Simba watangaza kuwasusia Viongozi timu

TUTAWASUSIA VIONGOZI KUANGALIA SIMBA, HUU NI UPUUZI
Shabiki wa simba ashindwa kujizuia baada ya kichapo cha leo na kudai kuwa kuiangalia simba ni upuuzi na watawasusia viongozi timu hiyo.
Kuangalia video kamili tembele kurasa wa Youtube Bongofive
Kuangalia video kamili tembele kurasa wa Youtube Bongofive
Imeandaliwa na @witnessflavian24 na @johnbosco_mbanga




