Michezo

Mashabiki wa TP Mazembe: Simba ni ndugu zetu, tunawapenda (+ Video)

Shabiki wa TP Mazembe anayeishabikia Simba azungumzia juu ya mchezo wao baada ya kushuka airport. Timu ya TP Mazembe wamekuja na baadhi ya mashabiki wao wakiwemo hawa ambao wameonyesha mapenzi na klabu ya Simba.

Kuhusu matokeo TP Mazembe 3 Simba 0 huo ni utabiri wa shabiki wa tP Mazembe vipi kuhusu utabiri wako ?

 

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents