Michezo

Mashabiki wa TP Mazembe waeleza wanavyoishabikia Simba, ila tutashinda 3 (+ Video)

Shabiki wa TP Mazembe anayeishabikia Simba azungumzia juu ya mchezo wao baada ya kushuka airport. Timu ya TP Mazembe wamekuja na baadhi ya mashabiki wao wakiwemo hawa ambao wameonyesha mapenzi na klabu ya Simba.

Kuhusu matokeo TP Mazembe 3 Simba 0 huo ni utabiri wa shabiki wa tP Mazembe vipi kuhusu utabiri wako ?

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents