Mashabiki wa Yanga wafurika Makao makuu ya Klabu hiyo kujipatia jezi mpya zilizozinduliwa hapo jana Januari 30,2023. Jezi hizo zenye mdhamini mpya Kampuni ya Haier zinauzwa kwa shilingi elfu 50.
Join our mailing list to get the latest news!
Related Articles
Check Also
Close