Michezo
Mashabiki wasiwe na wasiwasi juu ya Ateba – Fadlu Davis
“Mashabiki wasiwe na wasiwasi juu ya mshambuliaji wetu mpya kwani ataanza kuonekana katika michezo inayofuata,tunafuraha tunaanza kumpata katika kipindi ambacho timu imeanza kuchangamka,tunaamini Simba bora inakuja,” Kocha wa Simba FADLU kuhusu Ateba