Burudani
Mastaa wanaokula mkwanja Mrefu Instagram

Mastaa wanaolipwa mkwanja mrefu zaidi Kupost picha moja kwenye ukurasa wa Instagram.
- Cristiano Ronaldo – $3,234,000.
- Lionel Messi – $2,597,000
- Selena Gomez – $2,558,000
- Kylie Jenner – $2,386,000
- Dwayne Johnson – $2,326,000
- Ariana Grande – $2,264,000
- Kim Kardashian – $2,176,000
- Beyonce Knowles – $1,889,000
- Khloe Kardashian – $1,866,000
- Justin Beiber – $1,763,000
CHANZO: HOPPER Hq.
Imeandikwa na Mbanga B.