Habari
Maswali ya Mimi Mars kwa Salim Kikeke mbele ya Waziri Slaa

Usiku wa jana kumefanyika uzinduzi wa Shomax Tanzania ambapo Viongozi mbalimbali wa Kiserikali walishiriki pamoja na wadau mbalimbali wa maswala ya Tamthilia
Licha ya kuonekana kuwa ni wazo la kipekee Waziri wa Habari Mhe Jerry Slaa amesema ujio wa Showmax Tanzania umeleta suluhusho la Maudhui
Video Nzima ipo katika Akaunti yetu ya Youtube ya Bongo5
Written and edited by #abbrah255 and @el_mando_tz