
Ligi Kuu ya Uingereza iliendelea usiku wa February 2 na ilichezwa michezo kadhaa hii ni baada ya weekend haikuchezwa na kulikuwa na michezo ya Kombe la FA, haya ni matokeo ya mechi zenyewe.
Matokeo ya mechi za Ligi Kuu Uingereza February 2
Arsenal 0 – 0 Southampton
Leicester City 2 – 0 Liverpool
Norwich City 0 – 3 Tottenham Hotspur
Sunderland 0 – 1 Manchester City
West Ham United 2 – 0 Aston Villa
Crystal Palace 1 – 2 AFC Bournemouth
Manchester United 3 – 0 Stoke City
West Bromwich Albion 1 – 1 Swansea City
Msimamo wa Ligi Kuu Uingereza ulivyo sasa baada ya mechi za February 2