HabariMichezo

Matokeo ya Uchaguzi Mkuu Simba SC (+Video)

Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi wa Simba, Boniface Lihamwike akitoa matokeo ya uchaguzi Mkuu Simba SC

Murtaza Mangungu ameshinda uchaguzi nafasi ya Mwenyekiti wa Klabu kwa kupata kura 1,311.

Walioshinda nafasi ya ujumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ni;

1. Dr Seif Ramadhan Muba – kura 1636
2. Asha Baraka – kura 1564
3. CPA Issa Masoud Iddi – kura 1285
4. Rodney Chiduo – kura 1267
5. Seleman Harubu – kura 1250

Credit by @fumo255

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents