Michezo
Matola ugumu wa JKT wamuumiza, Simba bado inajitafuta

Kocha msaidizi wa klabu ya Simba Selemani Matola akiwa na mchezaji wa Simba Wilson Nangu wamefunguka juu ya mchezo ujao dhidi ya JKT Tanzania, Ikumbukwe mchezo huo utapigwa katika dimba la Meja Jenerali Isamhyo jijini Dar es Salaam.
Imeandikwa na kuandaliwa @johnbosco_mbanga & @witnessflavian29




