MahojianoVideos

Maua Sama aongea kuhusu Collabo yake na T Pain (+ Video)

Staa wa Bongo Fleva @mauasama amempokea msanii mwenzake kutoka nchini Nigeria @aphrodija kwa ajili ya kufanya video wao ambao @mauasama amemshirikisha.

Baada ya kutua Airpot aliongea machache na wana habari huku akieleza alivyomfahamu @mauasama lakini pia lebo iliyomsimamia ambayo ipo chini ya @donjazzy ya @mavinsrecordshq inatimiza miaka 10 ana chochote cha kusema.

Related Articles

Back to top button