Michezo
Mbadala wa Mpanzu apatikana
SIMBA NA FUNDI MNIGERIA .
Uongozi wa Simba umeanza mazungumzo na Sporting Lagos FC ya Nigeria ili kupata saini ya winga fundi wa kikosi hicho, Jonathan Alukwu, ikiwa itashindwa kumpata Elie Mpanzu kutoka AS Vita ya DR Congo. .
Alukwu mwenye miaka 21, anaichezea FC Heart-land, inaelezwa Simba wanajaribu kumshawishi ili ajiunge nao.