BurudaniHabari

Mbappe, Hakimi Naomi Campbell na mastaa wengine walihudhuria show ya Wizkid Paris

Mbali na Mbappe na Hakimi wachezaji wa PSG pia Popcaan, Naomi Campbell, Juan Bernat na Jack Dorsey waliohudhuria show ya Wizkid iliyofanyika katika ukumbi wa Accor Arena wenye uwezo wa kuingiza watu 20,300 huko Paris, Ufaransa.

Hawa pia ni baadhi ya mastaa waliowahi kuhudhuria show zake Rihanna, Kevin Hart, Wiz Khalifa, ASAP Rocky, Saweetie, Ben Simmons na Damson Idris walihudhuria Tamasha lake la Made In Lagos mnamo 2021.

lakini pia katika ukumbi wa 02 Arena jijini London mnamo Novemba 28, 2021. mastaa hawa walihudhuria, Romelu Lukaku wakati yupo Chelsea, Hakim Ziyech Chelsea, Gabrielle Union, Stormy, Winnie Harlow, Leon Bailey, Ezri Konsa na Nathaniel Chalobah.

Katika show zake za Marekani waliwahi kuhudhuria mastaa wengi sana akiwa Chris Brown, Justine Bieber na wengine.

Related Articles

Back to top button