Burudani

Mbosso na Abdu Kiba kuinganisha WCB na Kings Music(Video)

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia muungano wa WCB & KINGS MUSIC kupitia Mbosso na Abdukiba.

Anasema Collabo zao zikitoka zitabadilisha upepo wa Game ya Bongo Fleva kutokana na Upinzani wa Maboss wao.

Anaongeza kuwa Alikiba na Diamond wameonyesha namna gani wamekuwa kimuziki maana wameridhia wasanii wao wafanye Collabo.

Huenda siku za mbeleni tukaona Collabo ya Diamond na Alikiba.

Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents