Burudani
Mbosso ni hatari wa promo kwenye EP yake – El Mando

Kupitia #HotOnTheFeed @el_mando_tz amezungumza namna @mbosso_ alivyoweka mikakati mizuri ya Kufanya Promo ya EP yake ya Room No.3.
Anasema inawezekana imemfaidisha sana kwa namna anavyoifanyia Promo.
Msikilize @el_mando_tz mpaka mwisho kisha toa maoni yako.
Editor @kashmill_99






