Siasa

Mbowe: “Nilipokuwa gerezani nilimuomba Mnyika amlete Mdee,Nilimwambia kama kazi nitakutafutia hata nje

Akiongea Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe alisema kuwa: 

“Nilipokuwa gerezani nilimwomba  @jjmnyika amlete @halimamdee .Alikuja na Bulaya,niliwahisii sana.Niliwauliza nani aliwadanganya? Nilimwambia kama unataka kazi niambie nitakutafutia kazi hata nje,utalipwa vizuri achana na Ubunge.Nipo gerezani namuwaza Halima”

“Tumesikitika na hatujafurahia jambo la kuwapoteza wanachama wetu 19,lakini imebidi iwe hivyo. Kama kuna jambo la kihuni alilosema  @halimamdee hata mimi silijui hivyo ni vyema aulizwe yeye”

“Nilipokuwa gerezani nilimwomba  @jjmnyika amlete @halimamdee

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents