HabariMichezo

Mbrazil wa Simba, Robertinho aanzia Dubai

Kocha mpya wa @simbasctanzania Robertinho ameanza kazi ya kukinoa kikosi hicho huko Dubai.

Mbrazil huyo ameanza kuwafua mastaa wa Mnyama ambao wanajiandaa na michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na mashindano mengine ikiwa ni pamoja na Ligi Kuu.

Kocha Roberto Oliveira anapewa nafasi kubwa ya kukiwezesha kikosi cha @simbasctanzania kutimiza malengo yake ikiwa ni pamoja na Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa.

Imeandikwa na @fumo255

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents