Burudani
Mbwembwe za Issa Azam atema cheche Ndoa ya Mobetto na Aziz Ki

Mdau wa sanaa pamoja na mfanyabiashara @issaazam mapema siku ya leo amepokelewa na kampuni ya uzaaji magari @qfk_motors hii ni baada ya kukaaa mwaka mzima akiwa nchini China 🇨🇳
Issa Azam amewasifia qfk kwa huduma hiyo huku akiwataka Watanzania wengine nao waweze kushirikiakina na kampuni hiyo…