Burudani
Mbwembwe za Wasanii Dodoma Tamasha la CCM

Balaa la @kidenefighter nje ya ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma.
Sherehe za maadhimisho ya miaka 48 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) zitafanyika katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma Tarehe 05 Februari 2025; Mgeni Rasmi ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.