Mahojiano
MC Gara B aeleza ujio wa harusi nyingine ya Irene Uwoya (+ Video)
@mcgarab ambaye ni mmoja ya washiriki wa Hello Mr Right ameeleza kuwa lengo la shindano hilo ni kuwatafuta wapendanao na yeye atakuwa makini kwenye sekta hiyo.