Burudani

Mchekeshaji aachia wimbo mpya Mshamba wa Dar

Ukija mtaani utagundua kuwa kuna vijana wana elimu na pia wana vitu sana lakini wamekosa Support. Huyu anaitwa @cartoon_tza ni rapper mchekeshaji kutokea Iringa na alishawahi kujiunga na kundi la wachekeshaji (stand up comedy) Cheka tu huku akiwa amedai kuwa ameacha muziki mnamo mwaka 2019.

Sasa ameamua kuchanganya muziki na comedy yani anakuimbia huku anakufurahisha, na majibu hayo yote utayapata kwenye nyimbo yake hii ya MSHAMBA WA DAR.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents