Bongo5 ExclusivesBurudaniMichezo
Mchekeshaji Leonardo atia neno Uzinduzi wa VAR Tz (Video)
Katika tukio la uzinduzi wa VAR ambapo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alikuwa mgeni rasmi Bongo5 tv imezungumza na mchekeshaji @laughs_on_leonardo ambapo katika hilo Leonardo ameonyesha makeke yake ikiwemo kueleza namna itakavyofanya kazi 😂😂
Video nzima katika akaunti yetu ya youtube ya Bongo5.