Bongo5 ExclusivesLifestyleMichezo

Mchezaji wa Chelsea Batshuayi yupo Serengeti

Mshambuliaji wa Chelsea na timu ya taifa ya Mbelgiji Michy Batshuayi yupo katika mbuga ya Wanyama ya Serengeti nchini Tanzania.

 

Kupitia Instagram yake Batshuayi amepost picha zikimuonyesha akiwa katika Mbuga hiyo kubwa ya Wanyama.

Batshuayi kwa sasa anajipiga katika klabu ya Beşiktaş iliyopo katika jiji la Istambul lililopo nchini Uturuki.

Related Articles

Back to top button