Habari

Mchg Mastai “Tamasha la twenzetu kwa yesu kufanyika kawe jmosi hii”

Mapema leo Naibu Katibu Mkuu KKKT DMP, Mchg. Wilbroad Mastai amezungumza na Bongo5 tv pamoja na wanahabari wengine kubwa zaidi ni kuhusu Tamasha kubwa la Vijana la kusifu na kuabudu Twen’zetu kwa Yesu 2024, ambapo linatarajiwa kufanyika Jumamosi hii Tarehe 15.06.2024 huku akiambatana na Mkurugenzi Mtendaji wa Upendo Media Network (UMN), Neng’ida Johanes

Mbali na hilo Mchungaji Mastai ameeleza namna walivyojipanga kwa mwaka huu ambapo mara nyingi Tamasha hilo lilizoeleka kufanyika uwanja wa Taifa lakini kutokana na matengenezo Tamasha hilo litafanyika Viwanja vya Tanganyika Packes Kawe huku wasanii wakubwa wa Injili wakitumikia jukwaa hilo

Video nzima ipo katika Youtube channel yetu ya Bongo5

Written and edited by @abbrah255

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents