Michezo

Mchome Mapovu amtemea Cheche Feitoto (Video)

Leo katika mahojiano na Shabiki wa klabu ya Simba @mchome_mapovu ameshindwa kulikalia kimya swala la kiungo wa klabu ya Azam Feitoto baada ya Kuziruka kauli zake kuwa yeye na Eng. Hersi hawana tatizo awali Feitoto alisema ili kurudi katika klabu ya Yanga lazima Rais Eng Hersi aondoke kwenye klabu hiyo ndiyo yeye arudi hapo , Pia Mchome Mapovu baada ya kutoa msimamo wake juu ya klabu yake pendwa ya Simba kuwa itamaliza chini ya Azam bado ameendelea kusimama na msimamo huo huo hata kama Azam imeanza vibaya msimu huu bado anaimani kuwa kutoka na usajili wa klabu ya Azam ni bora kuliko wa klabu yake pendwa

Kuangalia video kamili tembelea ukurasa wetu wa YouTube Bongo5

Imeandikwa na kuandaliwa na @kashmill_99 & @Johnbosco_mbanga

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents