Michezo

Mchome Mapovu atoa neno la mwisho kuelekea mchezo wa Al Ahly Tripoli (Video)

  • Shabiki Nguli wa klabu ya Simba maarufu kwa jina la Mchome Mapovu ametoa kauli yake ya mwisho kuelekea mchezo wao wa raundi ya pili katika Kombe la Shirikisho dhidi ya klabu ya Al Ahly Tripoli amewaomba viongozi wa klabu yake kuwahimiza wachezaji wasiwaangushe kuelekea mchezo huo wajitahidi hata wafuzu hatua ya makundi wasibweteke na kauli ya kwa Mkapa hatoki mtu.
    Pia amezungumzia baadhi ya sajili za klabu ya Simba kuwa hajaridhishwa nazo na anaziona zikienda kuiangusha klabu ya Simba msimu huu.
    Je unampa “Big YES” au “Big NO” kwa maoni yake?

    Ili kuangalia video Kamili tembelea ukurasa wetu wa YouTube Bongo5

    Imeandikwa na kuandaliwa na @kashmill_99 & @Johnbosco_mbanga

     

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents