BurudaniHabariMahojiano

Mchungaji Hananja Asainiwa EFM kama Mtangazaji

Mchungaji @hananja.r amesaianiwa Efm akiwa kama Mtangazaji na amejiunga katika timu ya @lillianmwasha_ na @mkandamizaji kwenye kipindi cha dini.

Akimtambulisha Mchungaji huyo Mkurugenzi wa EFM na TVE @majizzo ameeleza dhima yake ya kuleta kipindi kile kwenye media yake ambapo anaamini ndio kitakuwa kipindi bora Afrika cha dini.

@majizzo amemtambulisha @hananja.r mbele ya Waziri mwenye dhamana ya Habari Mhe. @napennauye

Video nzima ipo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

Written and edited by @el_mando_tz

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents