Mchungaji Hananja ametoa mtazamo wake kuhusu Mfalme Zumaridi kusema kuwa alionana na Mungu Mbinguni.
Mbali na hilo pia kuhusu Mfalme Zumaridi kusema kuwa alitokewa na Jua Usiku.
Akiongea na @el_mando_tz Mchungaji Hananja ametoa mtazamo wake kuhusu kauli hizo.