Michezo
Mechi ya Simba dhidi ya Dodoma Jiji yapelekwa mbele

Leo Feb 12, 2025 kikosi cha Dodoma Jiji kimefanikiwa kurejea Dodoma baada ya ajali waliyoipata Lindi
❌ Mechi dhidi ya Simba iliyopangwa kuchezwa Feb 15 katika uwanja wa KMC haitochezwa.
✅ Dodoma Jiji wataendelea na matibabu katika hospitali ya Benjamin Mkapa