Michezo

Meddie Kagere atua Tanzania, yupo tayari kwa Ubingwa (+Video)

Mshambuliaji wa klabu ya @simbasctanzania Maddie Kagere anaonekana akitua uwanja wa ndege jijini Dar es Salaam tayari kujiunga na miamba hiyo ya soka ya Tanzania kwaajili ya kujiandaa na ligi kuu.

MK14 anaingia nchini na kesho siku ya Jumatano anatarajiwa kuingia kambini kujiunga na wachezaji wenzake kujiandaa na Ligi Kuu na Kombe la Shirikisho la Azam.

https://www.instagram.com/p/CAp2l7JhbFv/

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents