Habari
Mega Beverage yaadhimisha miaka 20, waja na zawadi (Video)
Hatua hiyo imefanya atambulishe bidhaa yake mpya K-Vant likiwa ni toleo maalum kwaajili ya kusherekea mafanikio hayo na wapenzi wa kinywaji hiko.
Mkurugenzi wa TIC Giliwd Terry amesema kuwa serikali imeendelea kuweka mazingira mazuri kwaajili ya wawekezaji kuendelea kuwekeza na kupenyeza bidhaa zao kwenye soko la Afrika Mashariki.