UncategorizedVideos
Meja Kunta aeleza namna ukaribu wake na Alicia Keys ulivyokatishwa (+ Video)
Akiongea na wanahabari msanii huyo wa Singeli ametambulisha rasmi EP yake ya #MejaPower ambayo inapatikana #Boomplay yenye ngoma nne tu na zote hakuna collabo.
Msikilize @mejakunta_ akiongea.