HabariMichezo

Meridianbet Yajikita kwenye Michezo Zaidi

Kampuni ya Habari ya Africa Media inayomilika vituo vyautangazaji Channel 10 na Magic FM, ambacho ni kituo cha matangazo ya redio, leo Januari 30, 2023 wamekabidhiwaVifaa vya Michezo na Meridianbet kama vile Jezi kwaajiliya kufanyia mazoezi ya mwili.

 

Meridianbet iliwakilishwa na Mkuu wa Kitengo cha Masoko naMawasiliano Matina Nkurlu pamoja na Meneja wa MaudhuiMtandaoni Twaha Ibrahim, walikabidhi vifaa hivyo kwa kuthaminiumuhimu wa michezo, na kudumisha mahusiano bora. Odds kubwaza soka unazipata Meridianbet.

 

Akikabidhi vifaa hivyo Nkurlu alisema kuwa kilichowasukumakutoa vifaa hivyo ni kutambua umuhimu wa michezo kwa jamii.

 

“Kwa kutambua umuhimu wa michezo kwa jamii, Meridianbettumeamua kutoa vifaa hivi vya michezo aina ya jezi ili kuongezachachu ya watu kushiriki kwenye michezo, Michezo ni tiba yamaradhi, ni burudani pia hujenga mahusiano mema kazini

 

Aliongeza kuwa Meridianbet imekuwa ikitoa misaada ya namnahiyo kwa jamii, akigusia Meridianbet kujihusisha na michezo nakuunga juhudi za Serikali chini ya Wizara ya Michezo naUtamuduni, TFF, na Bodi ya Ligi kwa kuingia udhamini mkubwana klabu ya KMC ya Kinondoni Iliyopo nafasi ya 10 kwenyemsimamo. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwasana, Usikose hii!

 

Ukiachana na kutoa msaada huu Africa Media lakini pia Meridianbet tumeidhamini klabu ya KMC tukiwa kama wadhaminiwakuu wa timu hiyo ambayo inafanya vizuri, ikiwa nafasi ya 10 kwenye ligi na Juzi wamefuzu hatua ya 16 bora ya Kombe la Shirikisho (FA)

 

Hivyo hii ni sehemu ya utamuduni wetu kurudisha kwa jamii, kwakile kidogo tunachokipata, na jambo kubwa la kuigwa ni kwambaMakampuni mengine yaige mfano wa Meridianbet wa kurejeshakwa jamii

 

Meridianbet wamekuwa wakiweka nguvu kwenye michezo, ikumbukwe kuwa Mwaka jana Septemba 2022 waliingia udhaminina timu hiyo ya Ligi Kuu Tanzania Bara wakiwa kama mdhaminimkuu wa klabu hiyo kwa muda wa miaka mitatu. Ukiwa nameridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka yameridianbet uweze kubashiri.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents