Habari

Meridianbet Yamwaga Reflector Kawe

Ajali za barabani zinachangikia kwa kiasi kikubwa kupunguzanguvu kazi ya taifa, na kuacha majozi kwa familia kuwapotezawapendwa wao. Wiki ya nenda kwa usalama barabaraniimepewa nguvu na Meridiabet ambapo Msaidizi wa kitengo cha usalama barabarani Kawe Inspekta Alex Duguza alitoa elimu yakujikinga na ajali za barabani kwa bodaboda wa eneo hilo, ambapo elimu hiyo iliambatana na ugawaji wa Reflector kutokaMeridianbet kwa madereva hao.

“Meridianbet hiki mlichokifanya ni kitu kikubwa sana kwaniitawasaidia madereva bodaboda kujikinga na ajali za barabarani, huu ni mfano wa kuigwa hata kwa makampuni mengineInspekta Duguza.

Meridianbet wababe wa odds kubwa na kasino ya mtandaoniwaliwatembelea Bodaboda wa maeneo ya Kawe na kuwapaReflector kujinga na ajali.

Nae Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano MeridianbetMatina Nkurlu alisema kuwa lengo la kutoa Reflector hizo nikuzuia ajali za barabani ikiwa ni wiki ya nenda kwa usalamabarabarani.

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kuchezamichezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Tumewatembelea wenzetu wa Bodaboda ni wadau wetu hawana sisi tumeamua kuja kuwaunga mkono kwenye kazi yao hii, tumetoa Reflector maalum kabisa ili kupunguza ajali zinakatishandoto zao, hivyo mchango huu kwao utaenda kuchochea kasi yaufanyaji kazi

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwasana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikiaombi la wengi imekuja na Jackport kubwa ya mechi13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindiatajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents