
Taarifa za kuaminika zinadai kuwa Mshambuliaji wa PSG, Lionel Messi amejiunga na Klabu ya Inter Miami inayoshiriki Ligi Kuu ya Marekani MLS.
Messi anatarajiwa kutangazwa muda wowote kuanzia sasa baada ya kuachana na ofa kutoka katika timu yake ya zamani Barcelona pamoja na Al Hilal ya Saudi Arabia.
Credit by @fumo255