BurudaniHabariMahojiano

DJ anayezitaka Collabo za Alikiba, Harmonize na Marioo

Mmoja ya DJ anayefanya vizuri kwa sasa kwenye soko la Muziki Nchini DJ Gibbz ametangaza kuachi ngoma mbili na moja ya ngoma hizo amefanya na kundi la wasanii kutoka Kenya BURUKLYN BOYZ ngoma inayoitwa #Debbie.

Leo akiongea na wana habari ameeleza kuwa mbali ya kuwa DJ pia anafanya muziki kama msanii na pia ni Producer, ameeleza pia ukaribu wake na Producers wa wakubwa na kueleza namna wanavyofanya kazi kw aushirikiano.

Baada ya kuulizwa ni wasanii gani anatamani kufanya nao collabo amewataja wasanii wakubwa wote nchini na kusema ipo siku akiwa mkubwa atafanya kila namna afanye nao collabo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents